Mahafali Ya Shule Ya Sekondari Ya Wasichana Ursuline- Njombe – Nyombo- 2022
MAHAFALI YA PILI Mahafali haya yamefanyika mnamo tarehe 10/09/2022 yakipambwa kwa uzuri kabisa na mheshimiwa mama Joyce Mayemba . Mahafali yalianza kwa ibada takatifu ya misa iliyoongozwa na mheshimiwa Padre Edward Msigwa paroko wa parokia ya Matembwe. Baada ya ibada bendi ya shule ilijiandaa kikamilifu tayari kumpokea mgeni rasmi kwa ajili ya kuanza rasmi mahafali…